Saturday, September 3, 2016

Wiz Kid At Fiesta 2016 Mwanza



Najua kuna list kubwa ya watu wangu ambao walikuwa na hamu kushuhudia mambo yalivyokuwa kwenye stage ya FIESTA 2016 ambayo imeanza ziara yake mikoani kwa sasa na ilianzia Mwanza August 20 1016 ambapo palikuwa na list ndefu ya wasanii kutoka bongoflevani na pefomance ya msanii kutoka Nigeria
Camera zimeweza kukamata tukio zima pale Wizkid alivyotisha stegini na nimekuwekea video hapa chini mtu wangu, kama hukubahatika kuwa kwenye Fiesta Mwanza, pia usisahau kuniacha comment yako

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.