Home » Sports
Showing posts with label Sports. Show all posts
Showing posts with label Sports. Show all posts
Monday, September 25, 2017
Friday, August 18, 2017
Hans Poppe kuhakikisha Yanga inapewa kichapo
Bosi wa Simba, Zacharia Hans Poppe.
HARAKATI za mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga itakayofanyika Agosti 23, mwaka huu
Wednesday, August 16, 2017
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 16.08.2017
Chelsea wanajiandaa kutoa pauni milioni 50 kumsajili beki wa Tottenham Danny Rose, 27, baada ya mchezaji huyo kushutumu sera za usajili za Spurs. (Sun)
Tuesday, August 15, 2017
Ronaldo apigwa marufuku ya mechi tano
Mchezaji nyota wa Real Madrid
Cristiano Ronaldo amepewa marufuku ya mechi tano baada kupewa kadi
nyekundi wakati wa mechi ya el Clasicco siku ya Jumapili.
Monday, August 14, 2017
Diego Costa asema Chelsea wanamchukulia kama 'mhalifu'
Diego Costa amesema Chelsea wamekuwa wakimchukulia kama "mhalifu" na akathibitisha kwamba bado anataka kurejea Atletico Madrid.
Neymar afunga mechi yake ya kwanza Paris St-Germain
Neymar alifunga bao mechi yake ya kwanza katika klabu yake mpya ya Paris St-Germain baada ya kununuliwa kwa rekodi ya dunia ya £200m kutokaBarcelona.
Cristiano Ronaldo apewa kadi nyekundu mechi ya El Clasico
Cristiano Ronaldo alifunga bao lakini baadaye akafukuzwa uwanjani huku Real Madrid wakilaza Barcelona 3-1 katika Super Cup ya Uhispania, mechi ya mkondo wa kwanza.
Manchester United wacharaza West Ham United 4-0
Romelu Lukaku alitangaza kuwasili kwake Old Trafford kwa kufunga mabao mawili mechi yake ya kwanza Ligi ya Premia akiwa na Manchester United na kuwasaidia kuwaaibisha West Ham Jumapili.
Semenya ashinda dhahabu mbio za 800m, Niyonsaba wa Burundi ashinda fedha
Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya alishinda dhahabu katika mbio za 800m upande wa wanawake siku ya mwisho ya mashindano ya ubingwa wa riadha duniani jijini London.
Conte: Sina hofu kwa kukosa kusaini wachezaji wapya
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema hana wasi wasi kufuatia kushindwa kwa klabu hiyo kuwasainia wachezaji wapya msimu huu.
Zinedine Zidane: Mkufunzi mkuu wa Real Madrid kutia saini mkataba mpya
Mkufunzi mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane ameafikiana na mabingwa hao wa Ulaya na Uhispania kuhusu mkataba mpya wa miaka mitatu.
Usain Bolt aumia na kushindwa mbio zake za mwisho mashindano ya dunia ya IAAF
Usain Bolt aliumia na kushindwa kumaliza mbio zake za mwisho za ubingwa wa dunia jijini London, na mwanariadha mwenzake Yohan Blake anasema huenda kucheleweshwa kwa mbio hizo kulimwathiri.
Friday, April 14, 2017
Maamuzi Ya Kamati Ya Saa 72 Kuhusu Rufaa Ya Simba Kwa Kagera
Kamati
ya saa 72 iliyokaa kikao leo April 13 na kuamua kuhusu malalamiko ya Simba kwaKagera Sugar kuhusu
kumtumia mchezaji Mohamed Fakhi katika mchezo dhidi yao April 2 2017
akiwa na kadi tatu za njano kinyume na taratibu na kanuni za Ligi.
Simba walipeleka
malalamiko hayo katika bodi ya Ligi na kuomba ipitie ripoti za waamuzi ili
kujulikana ukweli, leo April 13 kamati ya saa 72 chini ya mwenyekiti wake Hamadi
Yahayailikaa na kujiridhisha kuwa Kagera walikiuka taratibu hizo kwa mujibu wa
Kanuni Simbawamepewa
point zote tatu za mchezo dhidi yao.
Kamati
imejiridhisha kuwa mchezaji Mohamed Fakhi alioneshwa kadi za njano katika mchezo
dhidi ya Majimaji, Mbeya
City na African
Lyon, hivyo hakustahili kucheza katika mchezo dhidi ya Simba uliyochezwa April 2 2017 uwanja wa Kaitaba na Simba ikapoteza kwa magoli 2-1.
Tuesday, April 11, 2017
MICHEZO BAD NEWS: RFEF imemfungia Neymar leo April 11 2017
Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Neymar amekutana na adhabu ya kufungiwa mechi 3 kuichezea FC Barcelona na shirikisho la soka Hispania ( Royal Spanish Football Federation (RFEF) kwa makosa mawili.
Neymar amefungiwa mechi tatu, mechi moja ni kwa kuoneshwa kadi ya pili ya njano wakati wa mchezo dhidi ya Malaga uliyomalizika kwa FC Barcelona kupoteza kwa magoli mawili kwa 2-0 lakini mechi ya mbili kwa kosa la kumpongeza kwa kejeli fourth official wakati anatoka nje ya uwanja.

Neymar alipooneshwa kadi ya pili ya njano
Mchezaji huyo raia wa Brazil alitoa lugha za kejeli kwa fourth official wakati anatoka uwanjani kwa kuoneshwa kadi ya pili ya njano, refa wa game hiyo Jesus Gil Manzano ndio aliandika ripoti hiyo, Neymar sasa atakosa mchezo dhidi ya Real Sociedad, Real Madrid naOsasuna.
“Demu” Wa Ronaldo Aondolewa Kazini Kwa Sababu Ya Bwana Ake.
Kimwana wa Cristiano Ronaldo imemlazimu kuachana na kazi yake ambapo alikuwa ni meneja mauzo katika kampuni ya Prada.
Georgina Rodriguez ambaye alikuwa anapokea kiasi kinachokaribia paundi £1,370 kwa mwezi kwa kamisheni pekee kila mwezi ameamua kuondoka kwenye kiti chake hizo kutokana na rundo la waandishi wanaofika hapo kila mara jijini Madrid wakiajribu kukutana naye na kusaka taarifa mbalimbali
Ripoti iliyotolewa na jarida la El Mundo linasema kuwa hali ilikuwa mbaya na ambayo haikuwa na faida kwa baadae na kibiashara kutokana na suala hilo kuwa nje ya uwezo
Baadhi wa waandishi walifikia hatua ya kujifanya wateja ili tu wapate taarifa za Rodriguez ambazo wangeweza kuziandika ama kuziripoti.
Baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili na mabosi wake, binti huyo mwenye umri wa miaka 22 ilimbidi kuachia nafasi yake.
Na kazi ya Prada haikuwa ya kwanza kwenye suala la mitindo ambalo Rodriguez amejikita ambayo kapoteza kwani kutokana na mahusiano yake na Cristiano Ronaldo ilibidi aache kazi kwenye kampuni ya Gucci.
Aliondolewa na uongozi wa Gucci mwisho wa mwezi November, huku mabosi wakihofia kuwa wingi na uwepo wa waandishi kila mara ungeathiri mahusiano yao na wadau wao na wahisani.
Monday, April 10, 2017
SIMBA HASIRA ZOTE KWA MBAO, BANDA AFUNGIWA

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, leo wanatarajia kuendeleza mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, watakaposhuka kwenye dimba la CCM Kirumba, jijini Mwanza
Thursday, April 6, 2017
Monday, April 3, 2017
Site Users
Popular Posts
Topics
News
(108)
Artists
(83)
Local
(45)
Views
(41)
Music
(38)
International
(36)
Relationships
(34)
Universities
(28)
Sports
(25)
Sports Stars
(25)
Business
(14)
Life Style
(14)
Actors
(10)
OFFclass
(10)
Entrepreneur
(9)
Events
(9)
Health
(9)
Hustles
(9)
Who Hit A Lottery?
(7)
Fashion
(4)
High Schools
(4)
Movies/TV Series
(4)
Talent
(3)
Education
(1)
Tech
(1)
Archive
-
▼
2017
(182)
- November 2017 (2)
- September 2017 (20)
- August 2017 (46)
- July 2017 (6)
- June 2017 (2)
- May 2017 (1)
- April 2017 (45)
- March 2017 (51)
- February 2017 (8)
- January 2017 (1)
-
►
2016
(94)
- December 2016 (1)
- November 2016 (3)
- October 2016 (22)
- September 2016 (68)













































