Tuesday, September 5, 2017

Wabunge wapya walioteuliwa CUF kuapishwa

Mkutano wa Nane wa Bunge unatarajiwa kuanza leo Jumanne
tarehe 5 Septemba, mwaka huu na kumalizika tarehe 15 Septemba 2017 Mjini Dodoma. Ambapo kutakuwa na kiapo cha uaminifu kwa waheshimiwa Wabunge saba wa Chama cha Wananchi (CUF) walioteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi hivi karibuni.
Soma taarifa kamili:





Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.