Showing posts with label Artists. Show all posts
Showing posts with label Artists. Show all posts

Tuesday, September 5, 2017

Sunday, September 3, 2017

Friday, August 18, 2017

Saturday, August 5, 2017

Thursday, July 20, 2017

Tuesday, July 18, 2017

Tuesday, April 25, 2017

Friday, April 14, 2017

Nuh Mziwanda–Last Born Records Ni Urithi Nitakaouacha Hata Kwa Vizazi Vijavyo

Nuh Mziwanda amesema label yake, Last Born records si kwaajili yake pekee. Amesema hata siku akiwa ametoweka duniani, itaendelea kuwepo na ndio maana anaendelea kukusanya jeshi.


“Nataka nikizeeka au nikiwa sipo duniani basi niwe nimeacha watu wa kunikumbuka au vitu ambavyo vitakuwa kwenye historia ya maisha yangu, that’s why hivi sasa kwenye studio yangu Last Born records Nina wasanii wawili wapya kabisa ambao ntawatambulisha baada ya miezi miwili au mitatu ijayo,” amesema muimbaji huyo.
“Mmoja anaitwa Chichi Chadala, huyu yeye anaimba muziki wa kurap na mwingine anaitwa Computer, huyu yeye anaimba na huyu computer ndiye kaandika wimbo wangu wa Anameremeta, “ Mziwanda alikiambia kipindi cha VMix cha Channel 10.
Share:

Rais Magufuli Amempigia Simu Mwana FA


Jioni ya April 12 2017 staa wa muziki wa hip hop bongo Hamisi Mwinjuma ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la Mwana FA, alitoa taarifa kupitia ukurasa wake wa twitter kuoneshwa kufurahisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kumpigia simu.
Mwana FA ambaye kwa sasa anafanya vizuri katika radio na tv stations mbambali kwa hit single yake ya Dume Suruali amethibitisha kupigiwa simu na Rais kumwambi anakubali kazi zake.

Kupitia ukurasa rasmi wa twitter wa staa huyo uliyokuwa verified aliandika “nimefurahi kupokea simu ya Mheshimiwa Rais @MagufuliJP kunisalimia na kuniambia yeye ni mpenzi wa kazi zangu,haswa #DumeSuruali..”
Share:

Tuesday, April 11, 2017

Thursday, April 6, 2017

Linah Ft. Gnako – Mfupi

Msanii Linah ameachia wimbo unaitwa “Mfupi”, akiwa amemshirikisha G Nako. Huu wimbo umendikwa na msanii anaitwa Mr Kesho ambaye anafanya vizuri saivi na ngoma yake inaitwa ‘Nangoja’. Producer Taz Gaemi.
Share:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.