Sunday, September 3, 2017

New Music Alert:T GWAN_Kuachia Ngoma Mbili (Double Release) TWISTED & UKECHENE Download Now

Kwa Majina Ni Togama Chanika, stage name ni T GWAN, msanii wa Hip Hop Anayewakilisha vyema MAKAMBAKO.
Kwa Kujipachika Pia Jina La DIRTY SOUTH KID (DSK) Ili Kupeperusha Vyema Bendera Ya KUSINI mwa Tanzania...
Ujio Ni Wa Ngoma Mbili
Moja Inaitwa TWISTED aliyomshirikisha MOCS WOREVA..Aliyesimama Kwenye Chorus na kuandaliwa na T3 Producer wa TORNADO VIBEZ ,

 
DOWNLOAD TWISTED

Ya Pili Ni UKECHENE Iliyofanyika CIPHA PRODUCTION Under Ecko Scott

DOWNLOAD UKECHENE

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.