Friday, April 14, 2017

Snoop Dogg- Promise You This Video


Rapper Snoop Dogg ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Promise You This”, katika huu wimbo
anawacha haters, rekodi hii ipo kwenye album ya Neva Left, ikiwashirikisha wasanii kama Wiz Khalifa, Devin the Dude, Method Man, Redman na Kendrick Lamar.

Share:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.