Watu mbalimbali walialikwa na miongoni mwao ni wasanii wa Bongofleva ambao pia walipata nafasi ya kuimba mbele ya Rais Magufuli na Rais Museven.
Mastaa wa Bongofleva walivyoimba mbele ya Rais Museven na JPM, Tanga
Rais Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museven walikuwa na zoezi la kuweka Jiwe la Msingi kuzindua mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta eneo la Chongoleani, Tanga. Bomba hilo ni kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania.