Saturday, August 5, 2017

Rais JPM ahutubia Tanga, kawakutanisha Ruge na Makonda


August 5 2017 Rais Magufuli na Rais Museveni wa Uganda wameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda ambapo pamoja na kuhutubia kuhusu bomba hilo, Rais JPM aliwakutanisha Paul Makonda na Ruge Mutahaba.
Kwenye hii video hapa chini Rais Magufuli aliwaita wote wawili na kuwaambia washikane mikono na wayamalize…
Share:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.