Monday, September 5, 2016

Maneno ya Msaga Sumu baada ya ushidani kuongezeka kwenye ‘Singeli’











Najua nikiongelea muziki wa Singeli na wakali wa muziki huo kwa zamani utamwongelea mfalme wa muziki huo Msaga Sumu lakini kwa sasa kumekuwa na ushindani mkubwa kutokana na wasanii waliongezeka kwenye fani hii nikiongelea Manfongo na Sholo Mwamba pamoja na wengineo.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.