Monday, October 10, 2016

Vanessa Mdee aandika wimbo mpya wa Mafikizolo


Ni muda wa kufurahia japo kwa kidogo tunachoendelea kukiona kinachotokea kwenye muziki wa Bongo Fleva kwa kupiga hatua baada ya Vanessa Mdee kupata shavu la kuaandika wimbo mpya wa kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini.

 Wimbo huo ambao unaotarajiwa kuachiwa hivi karibuni umepewa jina la Kiswahili ‘Kucheza’ huku ukitayarishwa na Dj Maphorisa kutoka nchini humo.
Kupitia mtandao wa Instagram, mmoja ya member wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza amefunguka hilo kwa kuandika:
New single alert “Kucheza” by @mafikizolo_africa produced by @djmaphorisa and co written by East Africa’s First Lady of music, the beautiful @vanessamdee ,SA’s hip hop new kid @klyofficial , @theomafikizolo and yours truly. Can’t wait for y’all to hear it

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.