Monday, October 10, 2016

Video: Mariah Carey & Jussie Smollett – Infamous


Msanii mkwongwe wa R&B, Mariah Carey ameonekana kwenye episode mpya ya tamthilia maarufu ya Empire

Mariah katika tamthilia ya Empire anatumia jina la ‘Kitty’ aliungana na Jussie Smollett au Jamal Lyon kuimba wimbo wa pamoja ambao unaitwa “Infamous” uliandaliwa na Jermaine Dupri.
Tangu kuanza kwa msimu mpya wa tamthilia hiyo tayari kumekuwa na appearance za mastaa wakubwa wakiwemo Birdma, French Montana, Xzibit na Romeo Miller.
 
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.