Mbunge wa viti maalum CHADEMA, Susanne Makene ametembelea Kijiji cha Koromije wilaya ya Misungwi Mwanza na kutekeleza ahadi aliyoitoa miezi saba iliyopita kuhusu kutoa mifuko ya saruji 16 pamoja na vifaa vya michezo. Alipofika kwenye kijiji hicho Mbunge Susanne amezungumzia kuhusu kijiji cha Koromije……
‘Ni kijiji ambacho sivyo ambavyo watu wanavyofikiri, ni kijiji cha maendeleo, kumejengeka vizuri, wananchi wanajielewa wako vizuri kimaisha na ni wapambanaji‘-Mbunge Susanne