1. CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE YAANI TABIBU MSAIDIZI KWA MIAKA MIWILI
Sifa za mwombaji: Awe na ufaulu wa kidato cha nne kwa angalau alama D nne yakiwemo masomo ya sayansi yaani Fizikia (Physics), Kemia (Chemistry) na Baolojia (Biology)
2. CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH (Uhudumu wa afya ngazi ya jamii) MWAKA MMOJA
Sifa za mwombaji: Awe na ufaulu wa kidato cha nne kwa angalau D nne likiwemo somo la Baolojia (Biology)
- MUHULA MPYA UTAANZA MWEZI SEPTEMBA, 2017.
- YOTE HAYO YANAZINGATIA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA NA NACTE.
- CHUO KIMESAJILIWA KWA USAJILI WA KUDUMU KWA NAMBA 144.
- ADA ZETU NI NAFUU NA ZINALIPWA KWA AWAMU.
Kwa maulizo tafadhali wasiliana na chuo kwa namba 0755535301 AU 0625716530 AU 0754444151.