Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa, Profesa Ibrahim Lipumba na kundi lake wamekwama mahakamani leo baada ya Jaji Ndyansobera kukataa maombi ya Profesa Lipumba na kundi lake.
Jaji Ndyansobera amekataa kufuta kesi Namba 28/2017 kama ilivyoombwa na Lipumba ili wapate Ruzuku ya Chama Cha Wananchi wa CUF inayofikia shilingi billion moja na million mia nne toka Julai mwaka jana.
Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CUF, Mbarala Maharagande amefunguka na kusema kufuatia maamuzi haya ya mahakama hivyo hakuna pesa ambayo Profesa Lipumba anaweza kuchukua hata shilingi moja
Site Users
Popular Posts
Topics
News
(108)
Artists
(83)
Local
(45)
Views
(41)
Music
(38)
International
(36)
Relationships
(34)
Universities
(28)
Sports
(25)
Sports Stars
(25)
Business
(14)
Life Style
(14)
Actors
(10)
OFFclass
(10)
Entrepreneur
(9)
Events
(9)
Health
(9)
Hustles
(9)
Who Hit A Lottery?
(7)
Fashion
(4)
High Schools
(4)
Movies/TV Series
(4)
Talent
(3)
Education
(1)
Tech
(1)
Archive
-
▼
2017
(182)
- November 2017 (2)
- September 2017 (20)
- August 2017 (46)
- July 2017 (6)
- June 2017 (2)
- May 2017 (1)
- April 2017 (45)
- March 2017 (51)
- February 2017 (8)
- January 2017 (1)
-
►
2016
(94)
- December 2016 (1)
- November 2016 (3)
- October 2016 (22)
- September 2016 (68)
0 comments:
Post a Comment