Saturday, September 3, 2016

Jeshi la Polisi kuhusu kumwachia Afande Sele


Kama zilIkupita headline za msanii mkongwe wa Bongoflevani Afande Sele kukamatwa na Jeshi la Polisi huko Morogoro August 31 2016 kwa kosa la  kuhamasisha watu kufanya mandamano ya ukuta September mosi, Leo September 3 2016 Afande Sele ameachiwa kwa dhamana Polisi wametoa kauli hii kuhusu kuachia kwake.

Amepewa dhamana kwahiyo yupo nje kwa dhamana na uchunguzi unandelea tunazidi kukusanya ushahidi, na tutakapokamilisha ushahidi tutamfikisha mahakamani
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.