Saturday, September 3, 2016

Izzo Bizness aingia studio kurekodi na msanii wa Nigeria


Ni rapper kutokea Mbeya, Izzo Bizness ambae anazimiliki headlines baada ya kuingia 
studio kurekodi na msanii wa Nigeria, YCEE.Wasanii hao waliingia studio Jumatano yaAug 31, 2016 kurekodi single hiyo ya pamoja



ULIIKOSA HII VIDEO YA MSANII KUTOKA NIGERIA YCEE ANAYEMKUBALI MSANII WA BONGO,  BASI ITAZAME HII VIDEO

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.