Saturday, September 3, 2016

Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford mchana huu amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’.

Shamsa Ford Staa wa  filamu anafunga ndoa na mfanyabiashara wa nguo, Chidi Mapenzi.nyumbani kwao Sinza Afrikasana jijini Dar es salaam.Tunawatakia kheri na baraka katika ndoa yao.
Bongo Movies 
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.