Monday, October 10, 2016

Chris Brown, Alikiba, Wizkid, Vanessa wanogesha tamasha la Mombasa Rocks



Wapenzi wa muziki mjini Mombasa, Kenya, Jumamosi hii walishuhudia moja ya matamasha makubwa zaidi kuwahi kufanyika. Tamasha la Mombasa Rocks, lilimdondosha msanii wa Marekani, Chris Brown kwa mara ya kwanza Afrika Mashariki. 


Alisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Vanessa Mdee na wengine. Tazama baadhi ya show kwenye tamasha hilo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.