Monday, October 3, 2016

‘Juu’ ni wimbo mpya wa Vanessa Mdee na Jux?

Vanessa Mdee na Jux wameendelea kuwa gumzo kwa takriban wiki moja sasa. Na yote yalitokana na kutano la Vanessa Mdee na mshindi wa Grammy, Mmarekani Trey Songz hukoo Nairobi kwenye Coke Studio Africa.

 Pozi zao zilitengeneza headlines Afrika nzima huku watu wakihofia kuwa Jux kanyang’anywa mke! Vee amekanusha vikali tetesi hizo.

Lakini sasa kupitia akaunti zao za Instagram, wawili hao wanashare picha yenye neno #Juu na kuashiria kuwa huenda ukawa wimbo wao wa kwanza rasmi watakaoutoa wakiwa pamoja. Tangu waanzishe uhusiano, Vee na Jux hawajawahi kuachia wimbo wakiwa pamoja wakiimba
Share:

3 comments:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.