Kijana wa WCB, Raymond amefanikiwa kutajwa kwenye tuzo za mwaka huu za
MTV MAMA. Anawania kipengele cha msanii bora anayechipukia, wao
wanakiita Best Breakthrough Act.
Anaonesha umwamba na chipukizi wengine wa Afrika. Wafahamu hapo chini pamoja na nyimbo zao.
Simi – Nigeria
Nathi – Afrika Kusini
Nasty C – Afrika Kusini
Franko – Cameroon
Falz – Nigeria
Emtee – Afrika Kusini
Anaonesha umwamba na chipukizi wengine wa Afrika. Wafahamu hapo chini pamoja na nyimbo zao.
Simi – Nigeria
Franko – Cameroon
Falz – Nigeria
0 comments:
Post a Comment