Mastaa wa Marekani wameendelea kumuandama mgombea wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump – sasa ni zamu ya Nicki Minaj
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
Kwenye tamasha la Tidal X 1015 lililofanyika wikiendi hii huko mjini New York, rapper Nicki Minaj alimponda mgombea huyo anayechukiwa na watu wengi kwa vitendo vyake vya udhalilishaji kwa wanawake pamoja na sera zake za kuwapinga watu weusi.
“Barack needed Michelle, bitch, and Bill needed a motherf-cking Hillary. You better pray to God you don’t get stuck with a motherf-cking Melania,” amesema Nicki wakati wa tamasha hilo.
Mpaka sasa mastaa kadhaa wameonekana kumpinga mgombea huyo akiwemo Jon Stewart, Barbra Streisand, Samuel L. Jackson, Chelsea Handler, Lena Dunham na wengine.
0 comments:
Post a Comment