Tuesday, March 28, 2017

Emanuel Austin Kuendesha Semina ya Bure ya Dance Alhamis Hii Dar

Mwalimu wa dance mwenye mafanikio makubwa na mwenye shule maarufu inayofundisha fani hiyo nchini Ujerumani, Emanuel Austin anatarajia kufanya semina ya dance jijini Dar es Salaam Alhamis hii.

Hii ni taarifa rasmi kuhusu semina hiyo:
Je, unapenda kucheza? Je, unapenda kuboresha ujuzi wako wa kucheza? @emanuelaustinofficial Choreographer Mtanzania aishiye Germany anakuletea Dance Workshop ambayo itafanyika Alhamisi hii ndani ya Unleashed Dance Studio, Mikocheni B, Mwinyi. Master in Salsa, Hiphop, Pop n Locking, Afrobeat na kadhalika kuanzia SAA 9 mchana mpaka SAA 11 jioni. Gharama za Kujiandikisha: BURE. *Jinsi ya kujiandikisha*
Tuma SMS yenye maneno *”Jina Lako” alafu Emanuel Dance* kwenda 0685 271391. Mfano: *Hamisi Emanuel Dance* kwenda 0685 271391.
Nafasi ni CHACHE! Wahi kujiandikisha
Powered by @eastAfricatv @wetrainartists #UnleasedDanceStudio #UnleashedAcademy #EmanuelAustinDanceWorkshop
Kwa Maelezo zaidi, piga 0685 271391
Share:
Location: Dar es Salaam, Tanzania

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.