Tuesday, March 28, 2017

Harmo Rapa-“Mimi Binafsi Naweza Kumhudumia Wema Sepetu Kwenye Mapenzi”

Msanii wa Bongo Fleva, Harmo Rapa kwenye studio za millardayo.com alifunguka na kueleza hisia zake za kimapenzi kwa mastaa watano kutoka Tanzania.

Miongoni mwa mastaa aliowataja ni pamoja na staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu na kuyaongea haya Wema Sepetu ni mmoja kati ya wanawake wanao nivutia sana hasa lile umbo lake matata na kummudu pia sishindwi ninaweza kumhudumia kwa kila kitu hata kumnunulia nyumba na gari.” – Harmo Rapa.


Share:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.