Wednesday, March 22, 2017

Watu wakuta mawe ya makaburini kwenye nyumba zao alfajiri Bagamoyo

Bagamoyo watu wameamka asubuhi wamekuta mawe ya makaburini (Mashahidi) yamewekwa kwenye nyumba zao hali iliyozua taharuki huku baadhi yao wakidai yamewekwa na mtu. Mwenyekiti alikiri kutokea tukio hilo na kufanya utaratibu wa kuyarudisha mawe hayo makaburini.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.