Friday, April 7, 2017

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Nay wa Mitego ametuletea ‘WAPO’

Karibu Tanzania, karibu kwenye bongofleva…. kiwanda cha muziki wa kizazi kipya
kinachotukutanisha na video na nyimbo mpya kila wiki…. na leo ni zamu ya Nay wa Mitegona video yake mpya inaitwa “Wapo” ukishaitazama hapa chini usisite kumuachia comment yako


Share:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.