Monday, September 5, 2016

Video/Picha: Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao ‘Marry You’

Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.
Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.
Tazama baadhi ya picha za behind the scenes.





Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.