Mchekeshaji Stan Bokora baada ya kufanya cover ya wimbo ‘Nisamehe’ wa Barakah Da Prince kumezuka mtafaruku baina ya wawili hao
Barakah The Prince amedai hajapenda jinsi Stan Bakora alivyomwigiza katika video hiyo.
Muda mchache baada ya video hiyo kutoka, Baraka The Prince aliandika: Matani ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo… heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhali.
Kwa upande wa Stan Bakora alisema kila video ambayo anafanya cover ni
lazima azungumze kwanza na mwenye kazi na kukubaliana naye.
Barakah The Prince amedai hajapenda jinsi Stan Bakora alivyomwigiza katika video hiyo.
Muda mchache baada ya video hiyo kutoka, Baraka The Prince aliandika: Matani ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo… heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhali.
0 comments:
Post a Comment