Tuesday, March 28, 2017

Nay wa Mitego Ajibu Kuhusu Kudaiwa Kutumika Kisiasa

















Msanii  kutoka Bongoflevani Nay wa Mitego amezidi kuzichukua headlines baada ya Serikali kutoa agizo la kuachiwa na Polisi alipokuwa anashikiliwa kutokana na wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kuwa hauna maadili.
Baada ya kuachiwa na Polisi kituo cha TV cha Azam wamefanya interview na Nay wa Mitego na wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo kudaiwa kutumika kisiaasa, Bonyeza play hapa chini kufahamu alichokijibu Nay wa Mitego

Share:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.