Friday, April 14, 2017

India Yapiga Marufuku Uuzaji Wa Pombe Barabarani Kuzuia Ajali


Baa nyingi za nchini India zitajikuta kwenye ukata mkubwa. Tangu April 1, uuzaji wa pombe barabarani
umepigwa marufuku.
Hatua hiyo imechukuliwa kuzuia idadi ya vifo vinavyosababishwa na watu kuendesha wakiwa wamelewa. Hilo ni pigo kwa baa, hoteli nyingi na vijiwe vya kuuzia ulabu katika sehemu nyingi nchini humo.
Kila baa, kuanzia zile za kifahari hadi za hali duni zilizo ndani ya mita 500 kutoka kwenye barabara kuu zote sasa hazina pombe.

Mapato zaidi ya dola bilioni 10 yatapotea kutokana na uamuzi huo
Share:

Copyright © TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.