Sunday, November 5, 2017

LOYALTY

There are infinite numbers between 0 - 1 just as how there are stars yet to be seen or named. In life we pass through ups and downs from the time we were kids to the time we grow up, and even in the future. The ups and downs will be countless... just like the stars. One thing to always keep...
Share:

Saturday, November 4, 2017

CAPACITY BUILDING

Any plant cannot grow unless it is in the environment that allows it to do so. Same applies to Career, it has to be built. It has to grow so that, as an individual you can stand forth to achieve success. A career can be defined as a person's progress or general course of action through life...
Share:

Tuesday, September 26, 2017

Monday, September 25, 2017

Tundu Lissu Amtumia Salamu Waziri Ummy Mwalimu...Adai Atamjibu Mwenyewe

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu,  ameibuka na kusema, “vijembe vinavyorushwa na Ummy Mwalimu,” Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, “vitajibiwa na mimi mwenyewe,”Akihutubia mkutano wa nusu mwaka wa mawakili nchini (AGM), kaka mkubwa wa Lissu, Alute Mughwai Lissu, ameeleza...
Share:

KESI YA MANJI KUUNGURUMA KISUTU LEO, MASHAHIDI WAKE KUTOA UTETEZI

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji, leo Jumatatu anatarajiwa kuwapeleka mashahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kutoa utetezi wa kesi inayomkabili ya utumiaji wa madawa ya kulevya. Manji anakabiliwa na kesi hiyo ambayo ilishindwa kusikilizwa Septemba 18,...
Share:

Sunday, September 24, 2017

Serikali kuwabana wakala wa vyuo vikuu vya nje ya nchi

Tume ya Vyuo vikuu Tanzania (TCU), imesema tayari kuna sheria na wanadhibti wakala ama wawakilishi wa vyuo vikuu vya nje ya nchi wanakokwenda kusoma elimu ya juu vijana wa Kitanzania, ambapo kubwa ni sifa za kusoma vyuo hivyo iwe sawa na ya kusoma vyuo vya nchini. Afisa habari mwandamizi wa...
Share:

Kwa sasa Cesar Azpillicueta na Alvaro Morata ndio combination hatari kuliko yoyote barani Ulaya

Hii leo mtaani mashabiki wa Chelsea wanatembea vifua mbele baada ya hapo jana Alvaro Morata kuionesha dunia ni nini amekuja kufanya Uingereza na kuwanyamazisha waliokuwa wanamsema.Tayari Conte amemwagia sifa nyingi mshambuliaji huyo na kusema kwamba ni kijana mzuri sana kiasi kwamba hata kama...
Share:

Dreva wa Lissu Asema Hana Kumbukumbu Vizuri Kwa Kilichotokea Kwenye Shambulio Dhidi ya Lissu

Dereva wa Lissu ambaye ndiye mtu pekee waliyekuwa wote si ya tukio hilo, Simon Bakari naye alizungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo na kudokeza kwamba limevuruga na hana kumbukumbu sahihi.Dereva huyo ambaye naye anaendelea kupatiwa matibabu ya kisaikolojia katika hospitali hiyo ya Nairobi...
Share:

Saturday, September 23, 2017

Njia Rahisi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Mwanamke

Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia. Fanya...
Share:

Tuesday, September 5, 2017

Tiwa Savage ampagawisha Jay Z kwa show kali

First lady wa Mavin Record , Tiwa Savage ameamsha shangwe kutoka kwa mashabiki lukuki  waliokuwepo katika tamasha la Made in America Festival 2017, liliofanyika katika uwanja wa Benjamin Franklin Parkway nchini Ufaransa hapo jana(Jumapili). Tamasha hili lililokuwa likifanyika kwa siku...
Share:

Sunday, September 3, 2017

Tuesday, August 22, 2017

Sunday, August 20, 2017

Friday, August 18, 2017

Wednesday, August 16, 2017

TEEN SUBSTANCE ABUSE

What is teen substance abuse? Many teens try alcohol, tobacco, or drugs. Some teens try these substances only a few times and stop. Others can't control their urges or cravings for them. This is substance abuse. Teens may try a number of substances, including cigarettes, alcohol, household chemicals...
Share:

Copyright © 2025 TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.