Emma Stone ndiye mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi zaidi miongoni mwa waigizaji duniani mwaka huu.
Home » August 2017
Tuesday, August 22, 2017
Mahakama nchini India yapiga marufuku talaka ya kiislamu ya kutamka neno talaq mara tatu
Mahakama ya juu nchini India imeamua kuwa talaka ya mara moja katika dini ya kiislamu ni kinyume na katiba, uamuzi ambao umekuwa ni ushindi mkubwa kwa haki wanawake.
Sunday, August 20, 2017
KIMENUKA...Zitto Kabwe Adaiwa Kuihujumu NDEGE Mpya Serikali Nchini Canada
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekanusha vikali taarifa zinazosambazwa kwamba ameshiriki katika kuhakikisha ndege mpya ya serikali
KAULI ya Serikali Kuhusu Wanafunzi Kwenda Vyuo Vikuu Bila Kuhitimu Kidato cha Sita
Friday, August 18, 2017
Mwanaharakati wa Kupambana na Ujangili wa Pembe za Ndovu Tanzania Apigwa Risasi Kadhaa na Kufariki
TANZANIA
DAR: Mwanaharakati wa kupambana na biashara ya Pembe za Ndovu, Wayne Lotter apigwa risasi na kufariki. Alikuwa akishirikiana na Polisi kukamata wawindaji haramu wa Tembo.
DAR: Mwanaharakati wa kupambana na biashara ya Pembe za Ndovu, Wayne Lotter apigwa risasi na kufariki. Alikuwa akishirikiana na Polisi kukamata wawindaji haramu wa Tembo.
Hans Poppe kuhakikisha Yanga inapewa kichapo
Bosi wa Simba, Zacharia Hans Poppe.
HARAKATI za mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga itakayofanyika Agosti 23, mwaka huu
CHUO CHA TUMAINInu JIPYA MAFINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO
MKUU WA CHUO CHA AFYA CHA TUMAINI JIPYA MAFINGA ANA FURAHA KUWATANGAZIA KUWA CHUO KIMEANZA KUPOKEA MAOMBI YA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18 KATIKA KOZI ZIFUATAZO.
Povu la Idriss Sultan Kwa Wasichana Wanaopiga Picha za Uchi na Kujiita Models
"Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model .. Flaviana is a model, Herieth
Mwanafunzi Afungwa Jela Miaka 20, Akutwa Akiwaonesha Wanafunzi Picha za Ngono Kupitia Simu yake ya Mkononi
Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC)
Tawi la Tabora Marick Mbega amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya
Wednesday, August 16, 2017
TEEN SUBSTANCE ABUSE
What is teen substance abuse?
Many teens try alcohol, tobacco, or drugs.
Some teens try these substances only a few times and stop. Others can't control
their urges or cravings for them. This is substance abuse.
Teens may try a number of substances, including
cigarettes, alcohol, household chemicals (inhalants), prescription and
over-the-counter medicines, and illegal drugs. Teens use alcohol more than any
other substance. Marijuana is the illegal drug that teens use most often.
Why do teens abuse drugs and alcohol?
Teens may use a substance for many reasons.
They may do it because:
·
They want to fit in
with friends or certain groups.
·
They like the way it
makes them feel.
·
They believe it makes
them more grown up.
Teens tend to try new things and take risks,
so they may take drugs or drink alcohol because it seems exciting.
Teens with family members who have problems
with alcohol or other drugs are more likely to have serious substance abuse
problems. Also, teens who feel that they are not connected to or valued by
their parents are at greater risk. Teens with poor self-esteem or emotional or
mental health problems, such as depression, also are at increased risk.
What problems can teen substance abuse cause?
Substance abuse can lead to serious problems
such as poor schoolwork, loss of friends, problems at home, and lasting legal
problems. Alcohol and drug abuse is a leading cause of teen death or injury
related to car crashes, suicides, violence, and drowning. Substance abuse can
increase the risk of pregnancy and sexually transmitted infections (STIs), including HIV, because of unprotected sex. Even occasional alcohol use by a
teen increases the risk for future alcohol and drug problems.
Even casual use of certain drugs can cause
severe health problems, such as an overdose or brain damage. Many illegal drugs
today are made in home labs, so they can vary greatly in strength. These drugs
also may contain bacteria, dangerous chemicals, and other unsafe substances.
What are the signs of substance abuse?
It's important to be aware of the signs that
your teen may be abusing alcohol, drugs, or other substances. Some of the signs
include:
·
Red eyes and health
complaints, such as being overly tired. If your teen often uses
over-the-counter eye drops, he or she may be trying to cover up red eyes caused
by smoking marijuana.
·
Less interest in
school, a drop in grades, and skipping classes or school.
·
New friends who have
little interest in their families or school activities.
·
Chemical-soaked rags
or papers, which may mean that your teen is inhaling vapors. Other signs of
this are paint or other stains on your teen's clothing, hands, or face.
What should you do if you find out that your
teen is using alcohol, tobacco, or drugs?
If your teen is using alcohol, tobacco, or
drugs, take it seriously. One of the most important things you can do is to
talk openly with your teen about the problem. Urge him or her to do the same.
Try not to use harsh, judging words. Be as supportive as you can during this
time.
In most cases, a hostile, angry face-to-face
meeting pushes your teen away from the family. If you don't know what to do or
if you feel uncomfortable, ask for help from a pediatrician, psychologist, or psychiatrist.
The type of treatment your teen needs depends
on the level of substance abuse. For example, if your teen has tried drugs or
alcohol only a few times, talking openly with him or her about the problem may
be all that you need to do. But if your teen has a substance abuse problem,
then he or she needs to be seen by a doctor, a counselor, or both. If your teen
is addicted to a drug or alcohol, he or she may need to have detoxification
treatment or a treatment that replaces the substance with medicine. Medicine
works best if it is combined with one-on-one or family counseling, or both.
Returning to substance abuse, called relapse,
is common after treatment. It is not a failure on the part of your teen or the
treatment program. Recovery from addiction is hard and takes time. Know that
there may be setbacks that your teen will need to overcome one step at a time.
Can teen substance use and abuse be prevented?
To help prevent substance use:
·
Talk to your child
early about what you expect in his or her behavior toward alcohol, tobacco, and
other drugs. If your teen thinks that you will allow substance use, he or she
is more likely to try drugs or alcohol.
·
Keep your teen busy
with meaningful activities, such as sports, church programs, or other groups.
·
Expect your teen to
follow the household rules. Set reasonable consequences for behavior that needs
to change, and consistently carry out the consequences.
·
Keep talking with your
teen. Praise your teen for even the little things he or she does well.
·
Know your child's
friends. Having friends who avoid cigarettes, alcohol, and drugs may be your
teen's best protection from substance abuse.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 16.08.2017
Chelsea wanajiandaa kutoa pauni milioni 50 kumsajili beki wa Tottenham Danny Rose, 27, baada ya mchezaji huyo kushutumu sera za usajili za Spurs. (Sun)
AfriCOG: Shirika la kutetea haki lavamiwa na maafisa wa serikali Kenya
Polisi na maafisa wa mamlaka ya mapato nchini Kenya (KRA) leo walifanya jaribio la kuvamia afisi za shirika moja la kutetea haki ambalo lilikuwa limefutiwa usajili Jumanne.
Watu 600 watoweka kufuatia maporomoko Sierra Leone
Takriban watu 600 wametoweka kufuatia maporomoko ya matope na mafuriko yaliofanya uharibifu mkubwa katika maeneo kadhaa ya mji mkuu wa Freetown nchini Sierra Leone kulingana na msemamji wa rais.
Mkapa miongoni mwa waathiriwa wa upanuzi wa barabara
Nyumba inayoaminika kumilikiwa na mke wa aliyekuwa rais wa zamani wa Tanzania Benjamini Mkapa itavunjwa ili kuruhusu upanuzi wa barabara ya Morogoro .
Tuesday, August 15, 2017
Je, Uke Wako Unatoa Harufu Mbaya? Hii Ndio Jinsi ya Kumaliza Tatizo Lako
Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake za siri zinanuka.
Raila Odinga kufichua madai ya wizi wa kura Kenya
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya
Raila Odinga aliyeshindwa katika uchaguzi wa urais uliopita ameliambia
gazeti la Financial Times nchini Uingereza kwamba atafichua ushahidi
siku ya Jumanne kuhusu vile alivyoibiwa kura.
''Tutauonyesha ulimwengu ulivyochezewa'' .Bwana Odinga ambaye alikuwa akiwania urais kwa mara ya nne pia alibaini kwamba hatowania tena urais na kwamba aliwataka Wakenya kujua kilichofanyika wakati wa uchaguzi huo.
''Sio swala la kuwa mbifansi, Sio swala kuhusu Raila Odinga, Sitawania urais tena......tunataka Wakenya kujua kile kilichofanyika, na kile ambacho ulimwengu haujui kinafanyika''.
Bwana Odinga amedai kwamba wadukuzi waliingilia kompyuta za tume ya Uchaguzi na kuweka hesabu ambazo zilimpatia ushindi rais Uhuru Kenyatta.
Madai hayo hatahivyo yamepuuziliwa mbali na tume ya uchaguzi.
Ronaldo apigwa marufuku ya mechi tano
Mchezaji nyota wa Real Madrid
Cristiano Ronaldo amepewa marufuku ya mechi tano baada kupewa kadi
nyekundi wakati wa mechi ya el Clasicco siku ya Jumapili.
Monday, August 14, 2017
Diego Costa asema Chelsea wanamchukulia kama 'mhalifu'
Diego Costa amesema Chelsea wamekuwa wakimchukulia kama "mhalifu" na akathibitisha kwamba bado anataka kurejea Atletico Madrid.
Neymar afunga mechi yake ya kwanza Paris St-Germain
Neymar alifunga bao mechi yake ya kwanza katika klabu yake mpya ya Paris St-Germain baada ya kununuliwa kwa rekodi ya dunia ya £200m kutokaBarcelona.
Cristiano Ronaldo apewa kadi nyekundu mechi ya El Clasico
Cristiano Ronaldo alifunga bao lakini baadaye akafukuzwa uwanjani huku Real Madrid wakilaza Barcelona 3-1 katika Super Cup ya Uhispania, mechi ya mkondo wa kwanza.
Mambo kumi ya kushangaza kuhusu watu wanaotumia mkono wa kushoto:
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.
Uchaguzi Kenya 2017: Mwanafunzi wa chuo kikuu Paul Mwirigi ashinda ubunge
Kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye alikuwa mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi huu ndiye atakuwa mbunge mpya wa Igembe Kusini, katika kaunti ya Meru mashariki mwa jiji la Nairobi.
Manchester United wacharaza West Ham United 4-0
Romelu Lukaku alitangaza kuwasili kwake Old Trafford kwa kufunga mabao mawili mechi yake ya kwanza Ligi ya Premia akiwa na Manchester United na kuwasaidia kuwaaibisha West Ham Jumapili.
Kombora la tani saba lililoibiwa lalipuka kiwandani Urusi
Kombora la kutungua ndege lililokuwa limeibiwa lililipuka na kuwaua watu wawili na kumjeruhi mmoja nchini Urusi.
Semenya ashinda dhahabu mbio za 800m, Niyonsaba wa Burundi ashinda fedha
Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya alishinda dhahabu katika mbio za 800m upande wa wanawake siku ya mwisho ya mashindano ya ubingwa wa riadha duniani jijini London.
Conte: Sina hofu kwa kukosa kusaini wachezaji wapya
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema hana wasi wasi kufuatia kushindwa kwa klabu hiyo kuwasainia wachezaji wapya msimu huu.
Zinedine Zidane: Mkufunzi mkuu wa Real Madrid kutia saini mkataba mpya
Mkufunzi mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane ameafikiana na mabingwa hao wa Ulaya na Uhispania kuhusu mkataba mpya wa miaka mitatu.
Usain Bolt aumia na kushindwa mbio zake za mwisho mashindano ya dunia ya IAAF
Usain Bolt aliumia na kushindwa kumaliza mbio zake za mwisho za ubingwa wa dunia jijini London, na mwanariadha mwenzake Yohan Blake anasema huenda kucheleweshwa kwa mbio hizo kulimwathiri.
Jeshi la Uganda lasema halina mpango wa kuingia Kenya
Jeshi la Uganda Jeshi la Uganda la UPDF limekanusha taarifa kuwa liko tayari kuingia nchini Kenya kusaidia kudhibiti hali ya usalama nchini humo baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita.
Uchaguzi Kenya: Raila Odinga awashauri wafuasi wa upinzani kususia kazi Jumatatu
Saturday, August 5, 2017
Rais JPM ahutubia Tanga, kawakutanisha Ruge na Makonda
August 5 2017 Rais Magufuli na Rais Museveni wa Uganda wameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda ambapo pamoja na kuhutubia kuhusu bomba hilo, Rais JPM aliwakutanisha Paul Makonda na Ruge Mutahaba.
Kwenye hii video hapa chini Rais Magufuli aliwaita wote wawili na kuwaambia washikane mikono na wayamalize…
New Music Alert: Njovu Bin Hip-Hop_PARAMIA
Boniphace Raymond Njovu an upcoming artist going by the
Stage Name Njovu Bin Hip-hop Finally
Drops a new Trap song PARAMIA Featuring Nolly
Music & Pablo Pong.
Site Users
Popular Posts
Topics
News
(108)
Artists
(83)
Local
(45)
Views
(41)
Music
(38)
International
(36)
Relationships
(34)
Universities
(28)
Sports
(25)
Sports Stars
(25)
Business
(14)
Life Style
(14)
Actors
(10)
OFFclass
(10)
Entrepreneur
(9)
Events
(9)
Health
(9)
Hustles
(9)
Who Hit A Lottery?
(7)
Fashion
(4)
High Schools
(4)
Movies/TV Series
(4)
Talent
(3)
Education
(1)
Tech
(1)
Archive
-
▼
2017
(182)
- November 2017 (2)
- September 2017 (20)
- August 2017 (46)
- July 2017 (6)
- June 2017 (2)
- May 2017 (1)
- April 2017 (45)
- March 2017 (51)
- February 2017 (8)
- January 2017 (1)
-
►
2016
(94)
- December 2016 (1)
- November 2016 (3)
- October 2016 (22)
- September 2016 (68)