Wednesday, October 26, 2016

Habit, if not resisted becomes necessity.

It is said that early to bed and early to rise makes a man health, wealthy and wise. Early to bed and early to rise is a good habit. A habit means repetition of the same action in similar circumstances. All men have habits. There are good and bad habits. They are of different kinds. Habits...
Share:

Tuesday, October 18, 2016

Navy Kenzo – Simu zetu hazina password, kila mmoja anaweza kutumia ya mwenzake

Aika na Nahreel wana miaka minane sasa tangu waanzishe uhusiano wao uliopelekea kuzaliwa kwa kundi lao, Navy Kenzo. Wakiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, wawili hao wamesema tangu wameanza uhusiano wao wamejiwekea desturi ya kuaminiana kiasi ambacho kila mmoja anaweza kutumia...
Share:

Diamond ana mradi mpya na Usher Raymond

Spidi ya Diamond kulitafuta tobo la Marekani inatisha. Akiwa na collabo kibindoni na French Montana, Yo Gotti na Ne-Yo ambaye watakuwa na ziara ya pamoja Uingereza Disemba mwaka huu, muimbaji huyo wa ‘Salome’ ametoa hint ya mradi mwingine ujao na role model wake mwingine – Usher. Ametoa hint hiyo...
Share:

Nisher aja na series fupi ya ‘Alex’ tazama sehemu ya 1 na 2 hapa

Baada ya kukaa kimya kwa miezi kadhaa, muongozaji wa video wa Arusha, Nisher amerejea tena kazini na awamu hii akiwa na camera mpya aliyoinunua kwa $15,000. Ili kuhakikisha kuwa anatoa video zenye kiwango zaidi, amekuwa akiijaribu kamera hiyo kwa kufanya series fupi aliyoipa jina Alex. Hizi ni sehemu...
Share:

Nicki Minaj ampa za uso Donald Trump na mkewe Melania

Mastaa wa Marekani wameendelea kumuandama mgombea wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump – sasa ni zamu ya Nicki Minaj Kwenye tamasha la Tidal X 1015 lililofanyika wikiendi hii huko mjini New York, rapper Nicki Minaj alimponda mgombea huyo anayechukiwa na watu wengi kwa...
Share:

Thursday, October 13, 2016

TEXTING GAME

Is she not answering your texts? Is she giving you short answers? Are you tired of emojis and smileys replies? Do you wish not to be ignored? Did you get blocked? Let’s say you met a girl in a bus. The two of you talked. An exchange of contacts happened on your departure....
Share:

Monday, October 10, 2016

The Youth of Today

Our young generation of today has both good qualities and some deficiencies in them.  This generation has a series of understandings and emotions that the previous generations did not possess and therefore, we must always give them the benefit of the doubt.  At the same time, they also...
Share:

Samsung yasitisha utengezaji wa simu za Galaxy Note 7, tena

Kampuni ya Samsung imesitisha utengenezaji wa simu za Galaxy Note 7 baada ya hofu kuendelea kuwepo kuwa hata zile simu za mara ya pili zilizodaiwa kurekebishwa zinaweza kulipuka. Mtu anayefahamu uamuzi huo kwa ukaribu, amethibitisha kupitia CNN usitishwaji wa muda wa simu hizo baada ya shirika...
Share:

Clinton na Trump watifuana vikali kwenye mdahalo wa pili wa Urais Marekani

Mdahalo wa pili wa Urais nchini Marekani, umefanyika Jumapili hii huko St Louis, Missouri Wagombea, Donald Trump na Hillary Clinton walitabasamiana lakini hawakushikana mikono walipotambulishwa jukwaani. Mdahalo huo ulianza kwa mjadala iwapo Trump anafaa kuwa amri jeshi mkuu kulingana...
Share:

Matani ya Stan Bakora yamtoa povu Barakah The Prince

Mchekeshaji Stan Bokora baada ya kufanya cover ya wimbo ‘Nisamehe’ wa Barakah Da Prince kumezuka mtafaruku baina ya wawili hao Barakah The Prince amedai hajapenda jinsi Stan Bakora alivyomwigiza katika video hiyo. Muda mchache baada ya video hiyo kutoka, Baraka The Prince aliandika: Matani ni...
Share:

Diamond: Ne-Yo, Wizkid, Tekno, Flavour wameipa saluti ‘Salome’

Hit maker wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz amemtaja Ne-Yo, WizKid, Tekno pamoja na Flavour kuwa ni miongoni mwa mastaa walioukubali wimbo wake mpya ‘Salome’ Muimbaji huyo amedai kila mmoja kwa wakati wake alivyoona video ya wimbo huo, alionesha kupendezwa na kile alichokifanya. “Kabla ya wimbo...
Share:

CAF kuja kukagua uwanja wa CCM Kirumba

Wataalamu wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), wanatarajiwa kutua nchini wakati wowote kuanzia sasa kwa ajili ya kukagua Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Huu ni utaratibu wa CAF ambako baada ya muda hutembelea nchi wanachama kuangalia maendeleo ya miundombinu ya mpira wa...
Share:

Video: Mariah Carey & Jussie Smollett – Infamous

Msanii mkwongwe wa R&B, Mariah Carey ameonekana kwenye episode mpya ya tamthilia maarufu ya Empire Mariah katika tamthilia ya Empire anatumia jina la ‘Kitty’ aliungana na Jussie Smollett au Jamal Lyon kuimba wimbo wa pamoja ambao unaitwa “Infamous” uliandaliwa na Jermaine Dupri. Tangu...
Share:

Young Killer adai changamoto kwenye muziki zinaongezeka

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Mwanza, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa kila kukicha changamoto mpya zinajitokeza katika tasnia ya muziki. Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa wakati anaanza muziki hakukuta changamoto nyingi kama sasa, hali ambayo amewataka wasanii wapya kukaza. “Mabadiliko...
Share:

Chris Brown, Alikiba, Wizkid, Vanessa wanogesha tamasha la Mombasa Rocks

Wapenzi wa muziki mjini Mombasa, Kenya, Jumamosi hii walishuhudia moja ya matamasha makubwa zaidi kuwahi kufanyika. Tamasha la Mombasa Rocks, lilimdondosha msanii wa Marekani, Chris Brown kwa mara ya kwanza Afrika Mashariki.  Alisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Vanessa Mdee na wengine....
Share:

Monday, October 3, 2016

‘Juu’ ni wimbo mpya wa Vanessa Mdee na Jux?

Vanessa Mdee na Jux wameendelea kuwa gumzo kwa takriban wiki moja sasa. Na yote yalitokana na kutano la Vanessa Mdee na mshindi wa Grammy, Mmarekani Trey Songz hukoo Nairobi kwenye Coke Studio Africa.  Pozi zao zilitengeneza headlines Afrika nzima huku watu wakihofia kuwa Jux kanyang’anywa...
Share:

MTV MAMA; Hawa Ndio Chipukizi Wa Afrika, Ambao Raymond Atachuana Nao

Kijana wa WCB, Raymond amefanikiwa kutajwa kwenye tuzo za mwaka huu za MTV MAMA. Anawania kipengele cha msanii bora anayechipukia, wao wanakiita Best Breakthrough Act. Anaonesha umwamba na chipukizi wengine wa Afrika. Wafahamu hapo chini pamoja na nyimbo zao. Simi – Nigeria Nathi – Afrika...
Share:

TIME DEFINES ALL. CAN IT BE REVERSED?

TIME…….. In life there are a lot of valuable things that a lot of people would go days without even thinking that they may one day wake up to find them missing. Whether it’s a pet, neighbor, relative, friend, parent, sibling or lover.    What we do not realize is that all of them are...
Share:

Saturday, October 1, 2016

The Rules Of Been A Super Star Of Your Own Life

Life is a journey.  Ever wondered to live it to its full potential? To have no fear that you screwed up somewhere? To remove all the regrets that they were not supposed to be in your life? You be walking around the world as a public figure.... you been a super star of your own life . If...
Share:

Copyright © 2025 TODAY'S YOUTH FOUNDATION | Designed by Francis Ikomba Distributed By Norbert Inc.